habari Mpya


Rais John Magufuli Amuonya Waziri,Asimamisha Kazi Wahandisi 12.

Rais wa Tanzania, Dkt.John Magufuli amewasimamisha kazi wahandisi 12  wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS) Mkoa wa Morogoro na kuwapa onyo la mwisho Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Isack Kamwelwe;  Mtendaji Mkuu TANROADS, Mhandisi Patrick Mfugale na Mkurugenzi wa Matengenezo wa wakala huo kwa uzembe uliosababisha kuvunjika kwa daraja la Kiegeya mkoani humo.

Dkt.Magufuli amefanya uamuzi huo  Jumatatu, Machi 16, 2020, alipotembelea neo la daraja hilo kushuhudia lilivyosombwa kwa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha na kusababisha kukatika mawasiliano kati ya Dodoma na Morogoro.

SOMA TAARIFA ZAIDI HAPA CHINI.


Post a Comment

0 Comments