habari Mpya


Serikali wilayani Ngara ilivyoweka Juhudi Kuopoa Miili ya Watu Watatu Waliofariki kwenye Machimbo,Kibogora.



Watu hao watatu wamefariki baada ya kukosa hewa safi wakiwa katika shimo lenye urefu wa mita 35 wakati wakiendelea na shughuli za uchimbaji wa Madini December 19, 2019, katika kijiji cha kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera ambapo hata hivyo watu hao waliofariki wanadaiwa kuwa raia kutoka nchini jirani ya Burundi.

Post a Comment

0 Comments