![]() |
Waziri wa
Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Joyce Ndalichako (wa tatu) akikata utepe
kuashiria uzinduzi wa Ofisi ya Udhibiti Ubora wa Elimu Wilaya Misungwi mkoani
Mwanza. Wanaoshuhudia ni pamoja na Mkuu wa Wilaya Misungwi,Bw. Juma Sweda (wa pili kulia) na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Bw.Kisena Mabuba (wa pili kushoto).
|

0 Comments