habari Mpya


Prof.Ndalichako Aitaka Benki ya Mwalimu Kufundisha Matumizi ya Fedha.

Na Philmon Golkanus.

Waziri wa Elimu ,Sayansi na Tekknolojia Prof.JOYCE NDALICHAKO , ameitaka Benki ya Biashara ya Mwalimu kutoa Elimu ya Matumizi ya fedha kwa Walimu ili waweze kuepukana na matatizo ya kukopa katika taasisi za kifedha zinazopelekea wao kudhalilika na kukwamisha Maendeleo yao binafsi.

Prof.NDALICHAKO ametoa rai kwa benki hiyo wakati akizungumza na Walimu wawakilishi wa mkoa wa Kigoma mjini Kasulu , katika kongamano la benki hiyo na Walimu lililolenga kuwaelimisha juu ya namna ya kuweka akiba na kuepukana na kukopa katika taasisi za kifedha zinazowadhalilisha.

ZAIDI BOFYA HAPA CHINI KITUFE CHA  PLAY KUSIKILIZA ROIPOTI MWANAHABARI WETU PHILEMON GOLKANUSI.
 

Post a Comment

0 Comments