habari Mpya


Kwa Jero Lako tu SportPesa na Tigo Wanakuzawadia Smartphone na Gari Jipya.

Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti wa SportPesa, Bw.TARIMBA ABBAS (wa kwanza kushoto) akiwa na Afisa Uhusiano wa Tigo, Bi.WOINDE SISHAEL sambamba na wachezaji wa Simba SC na Yanga SC, DEUS KASEKE, MEDDIE KAGERE na PATRICK SIBOMANA kwenye uzinduzi wa kampeni ya Faidika na Jero September 20,2019  jijini Dar es Salaam. (Picha na SP News).
Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo Tanzania September 20,2019 imeingia kwenye ushirikiano na SportPesa Tanzania kuzindua promosheni inayokwenda kwa jina la ‘FAIDIKA NA JERO’

Kupitia faidika na jero, wateja wataweza kujishindia zawadi aina ya smartphone kila siku wakati kwenye droo ya mwisho mteja mmoja atajishindia gari mpya RENAULT KWID kwa kubashiri kuanzia kiasi cha Tshs 500 tu.

Akizungumza Jijini Dar es Salaam wakati wa kuzindua promosheni hiyo, Mkurugenzi wa Utawala na Udhibiti SportPesa Tanzania TARIMBA ABBAS alisema “Kupitia vyombo vya habari tutatangaza washindi wa kila wiki na atakabidhiwa zawadi yake bila gharama yoyote, Mteja atatakiwa kujisajili, kuweka fedha kwenye akaunti ya SportPesa kupitia mtandao wa tigo, kucheza na SportPesa ili ashinde’.
Bw.Tarimba Abbas (kulia) akiwaonyesha wanahabari moja ya Smartphone zitakazoshindaniwa (Picha na SP News).

Kwa upande wake, Meneja Uhusiano Tigo Tanzania WOINDE SHISAEL alisema, ‘Hii ni fursa nyingine kwa Tigo kuwazawadia wateja kupitia promosheni hii imekuwa ikizindua bidhaa na huduma zenye ubunifu wa hali ya juu na zinazokidhi matakwa ya wateja wetu.

‘Tunaelewa ni njisi gani wateja wetu wanapenda michezo na ni sehemu ya maisha. Kwa kupitia ushirikiano wetu huu na SportPesa, tunawapa wateja wetu fursa ya kujishindia zawadi kwa kubashiri na kuweka pesa kupitia Tigo Pesa’.
CHEZA SASA.
Promosheni hiyo itadumu kwa siku 40 kuanzia September 20,2019 hadi Oktoba 29,2019 ambapo jumla ya Smartphones 40 zitapata washindi bila kusahau gari moja ambalo litatolewa kwenye droo ya mwisho siku ya Jumatano ya Oktoba 30.

Bofya HAPA ili kubet mechi kali uingie kwenye droo ya ushindi.

Post a Comment

0 Comments