habari Mpya


Padre Fredrick Meela:Utandawazi unafaidi ikiwa utatumika katika mlengo sahihi

Habari na Picha: Godfrey Bisambi
Mkurugenzi wa Radio kwizera fm Padre Fredrick Meela kutoka shirika la Yesu amesema kuwa utandawazi ukitumia vizuri unafaida zake hasa kwa kuchochea maendeleo katika jamii

Amesema jamii inapaswa kuutumia utandawazi katika mambo yenye tija ambayo yanalenga kuleta mabadiliko chanya ili kujiletea maendeleo wao wenyewe
Amesema kulicha ya Utandawazi kuwa na faida katika Nyanja za maendeleo lakini pia ukitumiwa vibaya kunahatari kubwa ya kukitumbukiza kizazi chasasa katika sehem mbaya naisiyo faa
Aidha Padre Fredrick Meela amewahimiza Masister hao kuutumia utandawazi kwa kulitangaza neon la Mungu ili kuufanya ulimwengu kumjua Mungu na kumtumikiaMkurugenzi wa Radio Kwizera Fr.Fredrick Meela katika picha ya Pamoja na na Masister kwenye semina iliyofanyika katika Parokia ya Buhororo jimbo katoliki la Rulenge Ngara

Post a Comment

0 Comments