habari Mpya


Watu Wanne Wapoteza Maisha kwa Kuungua Ndani ya Nyumba Ngara.

Watu wanne wamefariki kutokana na ajali ya moto iliyotokea leo June 25, 2019 katika kijiji cha Kabanga wilayani Ngara Mkoani Kagera  huku mmoja wapo akiwa ni mtoto wa jirani aliyekuwa amelala katika nyumba hiyo.

Kwa mjibu wa Ndugu wa Marehemu Bw.Said Ramadhan Sudy ambaye ni Diwani wa kata ya Kabanga amesema chanzo cha ajali hiyo ni hitirafu ya umeme katika nyumba hiyo na kwamba waliofariki ni Zamlath Abubakari, Mariamu Liyumba, Bi.Suzi Abubakari aliyefariki baada ya kufikishwa hospitali teule ya Murgwanza na Abbakari Ramadhani Sudy ambaye ni baba wa familia.


SIKILIZA HAPA CHINI SIMULIZI YA MWANAHABARI WETU SAIMON DIONIZ.

Post a Comment

0 Comments