habari Mpya


DC Kahama- ''Wananchi Vifungashio vya Magazeti Ni Hatari kwa Afya''

Muonekano wa Mifuko imara, yenye ubora wa hali ya juu ambayo ni rafiki wa mazingira na hudumu kwa muda mrefu. 

Mkuu wa wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga Bw.Anamringi Macha amewataka Wananchi kuchukua tahadhari juu ya vifungashio vya magazeti ambavyo vimeanza kutumika kwa baadhi ya watu baada ya kupigwa marufuku mifuko ya plastiki.


Sikiliza hapa chini Taarifa ya Mwanahabari wetu Faraja Marco Kuhusu Katazo hilo.


- FARAJA.

Post a Comment

0 Comments