habari Mpya


Taarifa Kuhusu Mwenendo wa Kimbunga "KENNETH" katika bahari ya Hindi.

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini Tanzania (TMA) imetoa taarifa mpya juu ya mwenendo wa Kimbunga "KENNETH" katika bahari ya Hindi tarehe aprili 25,2019 mchana na athari zake kwa mifumo ya hali ya hewa hapa nchini kama inavyowasilishwa na Dkt AGNESS KIJAZI, Mkurugenzi Mkuu - Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA).


Kutokana na kasi hiyo kimbunga kinatarajiwa kutua nchini Msumbiji kuanzia Alfajiri ya Ijumaa April 26, 2019 kikiwa na kasi kilomita 100 kwa saa.

Hata hivyo, kitakapotua kimbunga hicho ni karibu na mpaka wa Tanzania kwa kilomita 230, na athari zake zinatarajiwa kukumba maeneo yaliyo ndani ya kilomita 600.

Bofya Hapa chini Kusikiliza zaidi.

Post a Comment

0 Comments