habari Mpya


Waislamu Kigoma Kuiombea Nchi Amani na Utulivu.

Na Adrian Eustace – RK Kigoma.

Taasisi ya JAMAATUL- IMANI kwa kushirikiana na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania- BAKWATA wameandaa dua ya kuliombea Amani Taifa na Viongozi kwa ujumla huku wakilaani mauaji ya watoto mkoani Njombe pamoja na maeneo mengine hapa nchini.
Dua hiyo itatanguliwa na Maandamano ya Amani kuuzunguka mji wa Kigoma yakilenga kuhamasisha suala zima la amani na mshikamano miongoni mwa watanzania na wakazi wa mkoa wa kigoma kwa ujumla.

SIKILIZA ZAIDI HAPA RIPOTI YA ADRIAN EUSTACE – RK KIGOMA.

Post a Comment

0 Comments