habari Mpya


Stori 3 za Yaliyojiri Kahama,Manispaa Kigoma na Karagwe.

Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Brigedia Jenerali (Rt), Emmanuel Maganga akiongea na Watendaji wa Halamashauri za mkoa huo akiwataka kufanya kazi kwa bidii kuhakikisha jamii na mkoa unapata maendeleo.

Serikali mkoani Kigoma imetoa tahadhli kwa baadhi ya Wananchi wa mkoa huo wanaoshirikiana na raia wasio waadilifu kutoka nchi jirani kufanya matukio ya utekaji na uporaji wa kutumia silaha mkoani humo.

Kutoka Mkoani Kigoma Mwanahabari wetu ADRIAN EUSTACE anataarifa zaidi


Baadhi ya wajasiliamali wanaotengeneza bidhaa mbali mbali wametajwa kutokuwa na uelewa wa kazi wanazozifanya hali ambayo ni hatari kwa watumiaji kutokana kuwa   hazina ubora unaotakiwa.

Mwanahabari wetu SIMON DIONIZ amezungumza na Afisa Uendelezaji  Bishara  kutoka Shirika la Kuhudumia Viwanda Vidogo Vidogo SIDO Mkoani  Shinyanga  Bw.ABEL BEEBWA ili kujua  hali halisi ya viwanda na ubora wa bidha zinazozalishwa.


Imeelezwa kuwa utunzaji  mbaya wa Fedha  aina ya noti kutoka kwa mwananchi mmoja mmoja umekuwa ukisababisha fedha nyingi kuharibiwa zinapofikishwa benki kuu ya Tanzani (B.OT) kitendo ambacho kinaendelea kulisababishia Taifa hasara.

Mwanahabari wetu ELLEN MAGAMBO kutoka Wilayani Karagwe Mkoani Kagera  amezungumza na Bw ABDUL DOLLAH ambaye ni Meneja msaidizi kutoka Benk kuu ya Tanzania  akitaka kufahamu kuhusu namana ya utunzaji wa fedha.


                  RADIO KWIZERA “2019 Ndiyo tofauti yetu

Post a Comment

0 Comments