habari Mpya


Stori 3 Yaliyojiri Chato Kuhusu Sheria,Kigoma na Sanamu la Mgebuka ,Ngara na Kutambua Noti Bandia.

CHATO.

Wajumbe wa mabaraza ya kata wilayani Chato mkoani Geita wametakiwa  kuzingatia maadili ya sheria kwa kuepuka kuomba na kupokea rushwa wakati wakitekeleza majukumu yao.

Msikilize hapa  ELIAS ZEPHANIA anataarifa zaidi kutoka Wilayani Chato Mkoani Geita.

- ELIAS
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia General Mstaafu EMMANUEL MAGANGA ameongoza zoezi la ufunguzi wa sanamu ya samaki aina ya Mgebuka iliyozinduliwa katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa rasilimali za mkoa huo.

Sikiliza ripoti ya Mwanahabari wetu ADRIAN EUSTACE anataarifa zaidi.

- ADRIAN 

Kutokana na baadhi ya watu pamoja wafanyabiashara nchini kukumbwa na kadhia ya kupewa noti bandia  ,wameombwa kuvitumia vifaa maalumu  vya kuzitambua alama za fedha halali ili kuondokana na hasara zinazoweza kujitokeza kutokana na watu wasiopenda maendeleo.

FELIX BAITU anataarifa zaidi kutoka Wilayani Ngara Mkoani Kagera.

- BAITU

Post a Comment

0 Comments