habari Mpya


Stori 2 za Yaliyojiri March 7, 2019 Kuhusu Wanawake na Maendeleo yao..

Soko la Kayanga,Karagwe.

Baadhi ya Wanawake wa kata ya Kayanga wilayani Karagwe Mkoani Kagera wameiomba Serikali kuweka uwiano sawa  katika masuala ya kazi  ili  kumkomboa mwanamke kifikra na mtanzamo katika suala zima la uongozi katika Nyanja mbalimbali.

Taarifa ya Mwanahabari wetu ELLEN MAGAMBO isikilize hapa kutoka Wilayani Karagwe Mkoani Kagera.
Halmashauri ya mji wa Kahama Mkoani Shinyanga imetoa zaidi ya shilingi milioni 137 kwa vikundi vya Wanawake ikiwa ni sawa na asilimia 4 ya mapato ya ndani  kwa ajili ya  kuwawezesha Wanawake kuendesha miradi yao ili waweze kujikwamua kiuchumi na kiumasikini.


Hapa chini sikiliza ripoti Kutoka Kahama Mkoani Shinyanga ya Mwanahabari wetu SAIMON DIONIZ.

Post a Comment

0 Comments