habari Mpya


Picha ya Samaki aina ya Mgebuka Yazinduliwa Kigoma Ujiji.

Picha na Adrian Eustace –RK Kigoma.


Muonekano wa Picha ya Samaki aina ya Mgebuka iliyozinduliwa na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia General Mstaafu EMMANUEL MAGANGA katika Manispaa ya Kigoma Ujiji ikiwa ni sehemu ya utambulisho wa rasilimali za mkoa huo.
Katika zoezi hilo mamia ya wakazi wa Mkoa wa Kigoma wamejitokeza kushuhudia ufunguzi wa sanamu hiyo ambayo imejengwa eneo la Mapandanjia barabara kuu ya soko la Mwanga kwenda Kigoma Mjini na Ujiji ambapo kabla ya uzinduzi Meneja wa TANROAD Mkoa wa Kigoma Engineer NARIS CHOMA amesema mpaka kukamilika imetumika zaidi ya milioni 7. 
 
 
Mkuu wa mkoa wa Kigoma Brigedia Generali mstaafu EMMANUEL MAGANGA ametoa wito kwa wananchi mjini Kigoma kujenga tabia ya uanamji kwakua mji wa kigoma ni maarufu na unatembelewa wna wageni kutoka sehemu mbalimbali ndani nan je ya nchi.

Post a Comment

0 Comments