habari Mpya


Mkakati huu Waifanya Geita Kapunguza Vifo vya Watoto Wachanga.


Hospitali Teule ya Mkoa wa Geita.

Mkoa wa Geita umefanikiwa kupunguza vifo vya watoto wachanga kutoka 1,070 kwa mwaka  2016 hadi vifo 690 mwaka jana,2018 .

Imeelezwa kuwa kati ya vifo 690 vya watoto wachanga vilivyotokea mwaka jana,2018 , vifo 257 vilikuwa vya watoto waliofia tumboni na 433 walifariki dunia baada ya kuzaliwa.

Mkoa wa Geita  una vijiji 474 lakini vituo vinavyotoa huduma ya afya ni 174.

PETER TANGO ni Mratibu wa Afya ya Uzazi na Mtoto Mkoa wa Geita hapa kazungumza na Mwandishi wetu SAMUEL LUCAS ili kujua mkakati walioutumia  kupunguza vifo hivyo vya watoto wachanga.

Post a Comment

0 Comments