habari Mpya


habari picha Jubilei ya miaka 25 tangu kuanzishwa kwa shirika la Masister wa kalkutta Jimbo Katoliki la Rulenge Ngara


Picha na Godfrey Philpo/ Habari Maelezo na Felix Baitu Pichani juu ni Askofu wa kanisa katoliki Jimbo katoliki la Rulenge Ngara Askofu Severine Niwemugizi akiongoza ibaada ya Misa takatifu katika maadhimisho ya jubilei hiyo.
Pichani juu ni baadhi ya akina mama wakitumbuiza katika maadhimisho ya jubilei ya miaka 25 ya Masister wa shirika la Kalkutta


Pichani juu ni baada ya Watoto wanao lelewa katika kituo cha Goyagoya kilichopo chini ya shirika la Masister wa Kalkutta

Pichani ni baadhi ya mabinti ambao wamelelewa na kusomeshwa na shirika hilo wakisoma shairi kwa Mgeni Rasmi Askofu wa kanisa katoliki Jimbo katoliki la Rulenge Ngara Askofu Severine Niwemugizi


Post a Comment

0 Comments