habari Mpya


Akutwa Amekufa Katika Mtaa wa Malunga Kahama.

Kijana ambae hajafahamika majina yake anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 21, amekutwa  amefariki kwa kupigwa na vitu vyenye ncha  kali sehemu mbalimbali za mwili wake katika mtaa wa Malunga, Kata ya Malunga Halmashauri ya Mji wa Kahama mkoani Shinyanga.

Kutoka Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga Mwanahabari wetu Faraja Marco anasimulizi hapa  zaidi.

  - FARAJA

Post a Comment

0 Comments