habari Mpya


UNHCR Yaimwagia Sifa Tanzania.


Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR Filippo Grandi akikaribishwa na Viongozi mbalimbali na Wakimbizi Kambini Nyarugusu wilayani Kasulu mkoani Kigoma February 7, 2019  pamoja na mambo mengine Fillippo Grandi ameipongeza Serikali ya Tanzania kuendelea kuwapokea na kuwapa hifadhi wakimbizi kutoka nchi zenye matatizo mbalimbali na kwamba UNHCR inatambua mchango mkubwa Tanzania inaoutoa kwa Wakimbizi.Sikiliza Hapa Simulizi ya Mwanahabari wetu Kigabi Muhubiri Kutoka Kambini Nyarugusu.

Post a Comment

0 Comments