habari Mpya


Matokeo na Msimamo wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Mechi za Februay 20/2019.

Ushindi wa February 20,2019 wa bao 2-1 unazidi kuwafanya Yanga SC waendelee kuongoza Ligi Kuu, sasa wakifikisha pointi 61 baada ya kucheza mechi 25, wakifuatiwa na Azam FC yenye pointi 50 za mechi 24 na mabingwa watetezi, Simba SC ni wa tatu kwa pointi zao 42 za mechi 17.


Post a Comment

0 Comments