habari Mpya


Habari Picha Mazishi ya aliyekuwa mtangazaji wa Redio Kwizera Maria Philbert

Baadhi ya wafanyakazi wa Redio Kwizera wakiongozwa na mkurugenzi Tobias Dindi (Wa kwanza aliyebeba jeneza kutoka kushoto kwako) wakipeleka mwili kwenye makaburi eneo la Nyashana

Waandishi wa Redio Kwizera wakiingia ndani kuchukua mwili wa marehemu


Waombolezaji wakiwa katika ibada ya mazishi iliyofanyika nyumbani kwao Mabatini Jijini Mwanza
Mkurungenzi Tobias Dindi akitoa salamu za pole kwa familia na wafiwa wote  katika ibada ya mazishi, pembeni yake kushoto ni Padre Fredrick Meela Mkurugenzi MsaidiziPicha ya pamoja na wanafamilia baada ya mwili wa Marehemu kuhifadhiwa katika nyumba yake ya milele

Post a Comment

0 Comments