habari Mpya


Hababri zilizo tufikia hivi punde Mwigulu Nchemba akimbizwa Hospitali ya Dodoma baada ya kupata ajali

Mbunge wa Iramba Magharibi Mwigulu Nchemba1 amepata ajali ya gari akiwa njiani barabara ya Iringa kuelekea Dodoma na amekimbizwa hospitali ya Dodoma. Endelea kufuatilia tovuti hii kwa taarifa zaidi
Post a Comment

0 Comments