habari Mpya


Yatazame Hapa Matokeo Kidato Cha Nne 2018 Vituo Vyote.


 Wanafunzi 57 wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Tumaini Lutheran Seminari  ya Malinyi mkoani Morogoro wamefutiwa matokeo baada ya kubaini shule hiyo ilivujisha mtihani huo.


Mbali na kufuta matokeo hayo, NECTA imekifungia kituo hicho cha kufanyia mtihani.


Hayo yameelezwa leo Alhamisi Januari 24, 2019 na Katibu Mkuu mtendaji wa baraza hilo, Dk Charles Msonde wakati akitangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018 mkoani Dodoma.


Msonde ameagiza wahusika wote kuchukuliwa hatua wakiwemo polisi waliosimamia.

MSIKILIZE HAPA CHINI.


Kutazama matokeo bonyeza hapa MATOKEO YA KIDATO CHA NNE

TAZAMA HAPA ===> MATOKEO YA QT

MATOKEO KIDATO CHA NNE VITUO VYOTE A-Z ===> BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments