habari Mpya


Wazazi wajibikeni Kuchangia Miundombinu ya Elimu Nchini.


Imeelezwa kuwa Mpango wa kuwahamasisha Wazazi  katika kuchangia Ujenzi wa miundombinu ya elimu ni jambo linalotakiwa kupewa kipaumbele ili Kuboresha Sekta ya Elimu hapa Nchini.

Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Bi ANNA MGHWIRA alipokuwa akizungumza na Kipindi hiki kuhusiana na  Hali ya elimu kwa Mkoa wa Kilimanjaro.

MSIKILIZE HAPA

Post a Comment

0 Comments