habari Mpya


Wananchi Sozibuye-Geita Waishitukia Serikali ya Kijiji kukata Miti hovyo.

Wananchi wa Kitongoji cha Sozibuye Kata ya Busanda Mkoani Geita wameamua kuandamana hadi kwa Diwani wa Kata hiyo
ELIAS KISOME  wakipinga ukataji miti hovyo unaofanywa na Serikali ya kijiji hicho kwa madai ya kutafuta fedha za Ujenzi wa Shule na Zahanati unaoendelea kujengwa kijijini humo.
Na Gibson Mika –RK Geita 90.5
Bofya Hapa chini kuwasikiliza Wananchi hao wakizungumza na Radio Kwizera kwamba waliingia makubaliano na Serikali ya kijiji hicho kukata miti mia Tano kwa ajili ya kuuza kwa lengo la kupata fedha za ukamilishaji wa MABOMA YA ZAHANATI NA SHULE ujenzi unaoendelea kujengwa katika kijiji chao hali ambayo imekuwa tofauti kwa kuendelea kukata miti hiyo  licha ya kukamilika kwa idadi ya miti iliyokuwa ikihitajika.

Post a Comment

0 Comments