Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Innocent
Bashungwa.
Wizara ya
Kilimo imesitisha Madeni yote yaliyokuwa yanadaiwa na vyama vya ushirika Mkoani
Kagera ambavyo ni chama Kikuu cha Ushirika KDCU LTD cha
wilaya za Karagwe na Kyerwa, KCU
na NGARA
FARMARS hadi pale maelekezo na utaratibu mwingine utakapotolewa na
WIZARA.
Kauli hiyo
imetolewa na Naibu Waziri wa Kilimo
ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la
Karagwe Mhe.Innocent Luga Bashungwa
wakati akiongea na vyombo vya habari ambapo alikuwa akitoa mrejesho wa hatua
zinazoendelea kuchukuliwa na Wizara ya jinsi wakulima wa kahawa watakavyo
nufaika na zao hilo.
BOFYA PLAY HAPA CHINI
KUSIKILIZA.
Mhe.Bashungwa ametaja moja ya sababu za
kusitisha madeni hayo kuwa imetokana na mapato yanayopatikana kupitia vyama vya
ushirika baada ya uuzaji wa kahawa wanalipwa wadeni kabla ya wakulima wenye
mali.
|
0 Comments