![]() |
Serikali nchini kupitia wizara kilimo imesema kuwa
msimu ujao wa zao la kahawa itahakikisha mkulima analipwa fedha yake siku
kahawa inaponunuliwa kwenye mnada na si vinginevyo.
Kutoka Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Mwanahabari
wetu ANORLD
KAILEMBO anataarifa zaidi.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.
|
![]() |
Halmashauri ya wilaya
ya Biharamulo mkoani Kagera imeanza
kuwajengea banda la kuuzia samaki wanawake
wajariamali wadogo ili kuepukana na changamoto ya kuuzia nje bidhaa hiyo
hasa katika msimu wa mvua zinazoendelea
kunyesha.
Kutoka Wilayani
Biharamulo Mkoani Kagera Mwanahabari wetu WILLIAM MPANJU anataarifa zaidi.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.
|
![]() |
Wananchi wa Kata za Itaba, Kizazi na Bitare wilayani kibondo mkoani Kigoma wanatarajia
kunufaika na upatikanaji wa maji mwishoni mwa mwezi wa pili baada ya kukamirika kwa miradi inayo endelea
kutekelezwa katika maeneo yao.
Mwanahabari wetu FARAJA MARKO
anataarifa zaidi kutoka Wilayani Kibondo Mkoani Kigoma.
WAWEZA KUSIKILIZA HAPA CHINI RIPOTI KAMILI.
|
0 Comments