habari Mpya


Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma Yaanza Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya.

Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma imeanza ujenzi wa hospitali ya wilaya katika eneo la Nyamyusi ikiwa ni jitihada za kuboresha na kusogeza karibu huduma za Afya kwa wananchi.

Ujenzi huo unafanyika kutokana na halmashauri hiyo kutokuwa na Hospitali baada ya kuigawa kuwa halmshauri za Buhigwe na Mji wa Kasulu ambapo imebaki na vituo vya Afya vitano pamoja na zahanati 32 pekee.

SIKILIZA SIMULIZI  MWANAHABARI WETU ALBERT KAVANO KUTOKA KASULU ,KIGOMA

Post a Comment

0 Comments