habari Mpya


Wilaya ya Buhigwe yaanzisha Darasa la Akina Mama Kuandaa Chakula chenye Virutubisho ili Kukabili Udumavu kwa Watoto.

Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe, Luteni Kanal Michael Masala Ngayalina akishiriki kuandaa chakula cha nyongeza chenye virutubisho vyote katika kijiji cha Songambele wilayani humo lengo likiwa kuondokana udumavu kwa watoto.

Na Philemon Golkanus -RK Buhigwe 94.2
Baadhi ya Wanawake katika kijiji cha Songambele wilayani Buhigwe Mkoani Kigoma , wamesema darasa waliloanzishiwa la kuandaa chakula cha nyongeza chenye virutubisho vyote kwa watoto wao ili kuondoa udumavu, litaleta mabadiliko makubwa katika ukuaji wa watoto wao .

Taarifa ya Mwanahabari wetu Phillemon Golkanus inafafanua Kwa kina kutoka wilayani Buhigwe mkoani Kigoma.

Post a Comment

0 Comments