habari Mpya


Ukatili Wanaofanyiwa Wanawake Kasulu mkoani Kigoma Unakwamisha Maendeleo ya Familia.

Baadhi ya Wanawake wa mjini Kasulu ,Mkoani Kigoma wamesema ukatili wanaofanyiwa na waume zao wa kupigwa na kutelekezwa na watoto wachanga, unachangia kwa kiasi kikubwa kukwamisha maendeleo ya familia zao.


Bofya Play Hapa Chini Kusikiliza Ripoti ya Phillemon Golkanus.

Post a Comment

0 Comments