habari Mpya


Picha -Pembe za Ng'ombe Aina ya Ankole Zilizoongezwa Thamani.

Pembe hizi hupatikana zaidi maeneo ya Magharibi mwa Tanzania ambapo Ng'ombe aina ya Ankole wanafugwa, "Tembelea maeneo ya Machinjio na Minada" zinapatika.

 Picha zinazoonekana ni pembe za ng'ombe zilizoongezwa thamani kwa kutumika kama kishikia taa au kwa kingereza Lamp Holder 

Urembo ni kitu muhimu kwa Mwanamke Bangili na Hereni zitokanazo na pembe za Ng'ombe Wajasiriamali Mpo'

  Wasiliana Na Blog Hii Utapata Bidhaa Zitokanazo Na Mifugo Kama Hizo Hapo Juu.

Post a Comment

0 Comments