habari Mpya


Matokeo yote Mechi ya Ligi Kuu England 2018/2019.

Sare ya 2-2 kati ya Man United dhidi ya Arsenal kwenye mechi ya Ligi Kuu England msimu wa 2018/2019  katika uwanja wa Old Trafford Jana December 5,2018 imezifanya timu hizo kugawana pointi. 

Sare hiyo haijazisaidia timu zote mbili, kwani Arsenal wameondoka katika nafasi ya  4 kwa kuwa wana point 31 sawa na Chelsea waliyopoteza mchezo kwa bao 2-1 dhidi ya Wolves  lakini Chelsea wanaongoza kwa tofati ya magoli ya kushinda na kufungwa wakati Man United wao wameshuka kutoka nafasi ya 7 hadi nafasi ya 8 na wana point 23.

Matokeo ya Mechi nyingine.

Post a Comment

0 Comments