Timu zilizofuzu kucheza 16 bora ya UEFA Champions League
msimu wa 2018/2019.
Hatua ya makundi ya michuano hiyo imekamilika kwa vilabu
vya Inter Milan, Pizen, Galatassary, Benfica, Club Brugge, Valencia, Napoli na
Shakhtar zikiishia kuangukia katika michuano ya UEFA Europa League 2018/2019.
|
0 Comments