habari Mpya


Jeshi la Polisi Ngara laipongeza Radio Kwizera Kusaidia Kupunguza Vitendo vya Uhalifu.

Jengo La Radio Kwizera-Ngara.

Na Amos John –RK Ngara 97.9.

Mkuu wa jeshi la polisi wilayani Ngara mkoani Kagera Bw.Abeid Maige, ameipongeza Radio Kwizera kwa kusaidia kupunguza vitendo vya uhalifu wilayani Ngara mkoani Kagera. 

Bw. Maige amesema kupitia elimu ambayo imekuwa ikitolewa na radio kwizera kupitia vipindi mbali mbali imesaidia wananchi kufahamu mambo mengi ikiwemo sheria za usalama barabarani.

BOFYA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA OCD -ABEID MAIGE NA PONGEZI ZAKE KWA RK FM.
Amesema ni vema Wananchi wakaendelea kutoa ushirikiano kwa waandishi wa redio Kwizera ili kupata habari mbalimbali zitakazosaidia kuleta maendeleo katika Jamii.

Post a Comment

0 Comments