habari Mpya


Vikundi vya Radio Kwizera Salam Clubs Vyatakiwa Kubuni Mawazo bora ya Biashara na Nidhamu ya Fedha.

Picha Na,Juventus Juvenary-MBOGWE-GEITA.

Kupitia mafunzo ya Ujasiriamali yanayoendelea katika Club 6 za Watuma Salaam ,RK Salaam Clubs, Pichani ni Bw.Donatus Balthazar ambaye ni AFISA Masoko na Mhasibu wa Radio Kwizera akizungumza na washiriki wa mafunzo wa Laiti RK Salam Club,Lulembela,Mbogwe mkoani Geita.
Kupitia mafunzo hayo, Bw. Donatus amewataka wajasiriamali kufanya utafiti,kubuni mawazo bora ya Biashara na kuwa na nidhamu ya fedha.

Post a Comment

0 Comments