Pichani
juu ni msanii chipukizi wa Muziki wa Injili Bw.Geofrey Katilimbe Mdodelo.
Msanii
huyu wa Muziki wa Injili anaefahamika kwajina la Bw.Geofrey Katilimbe Mdodelo mkazi
wa Wilayani Nngara mkoani Kagera ameachia wimbo wake mpya kwaajili ya wanandoa
ambao ndoa zao zimefungwa Kanisani.
Wimbo
huo unaenda kwa jina la “NIMEKUCHAGUA WEWE” amesema kuwa ameutunga kwaajili ya wanandoa
ambao ndoa zao zimehalalishwa na Mwenyezi Mungu.
|
0 Comments