habari Mpya


Agizo la RC Gaguti Kwa Viongozi Ngara Juu ya Shule ya Ruganzo B .


Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jen. Marco Gaguti amefanya ziara ya kukagua Shule za Msingi Mkoani humo ,akiwa wilayani Ngara,amefika Shule ya Ruganzo B yenye Wanafunzi zaidi ya 350.

RC Gaguti ameshindwa kujizuia na kueleza hali aliyoiona, “Hali hii ni ngumu hairidhishi na Mkoa wa Kagera unasifika kwa Elimu bora na Miundombinu bora ya Madarasa, hali hii ni ngumu kuikubali na kuielewa”

MSIKILIZE HAPA CHINI.Source - millardayo

Post a Comment

0 Comments