habari Mpya


Watu Watatu Wafariki katika Machimbo ya Dhahabu Wilayani Kahama Mkoani Shinyang’a.

Watu watatu wamefariki katika Machimbo ya wachimbaji wadogo wa Dhahabu, Mwime Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga usiku wa Jumamosi,September 29,2018.

 Mkuu wa Wilaya ya Kahama  Bw. Anamringi Macha amezungumza  na Mwanahabari wetu Samuel Lucas kuhusiana na hatua zitakazo chukuliwa Katika Mgodi wa Mwime baada ya tukio hilo kutokea.

Post a Comment

0 Comments