habari Mpya


RC Kagera na Vita dhidi ya Watumishi watakaobainika Kujihusisha na Rushwa.

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Mstaafu Marco E Gaguti.

 Mkuu wa mkoa wa Kagera Brigedia Jenerali Marco Gaguti ametangaza vita dhidi ya Watumishi watakaobainika kujihusisha na vitendo vya rushwa akidai kuwa mkoa wa Kagera umejipambanua kuwa miongoni mwa mikoa inayopigana na vitendo hivyo.


Kutoka Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera Mwanahabari wetu Anord Kailembo anataarifa zaidi.

MSIKILIZE HAPA CHINI.
 

Post a Comment

0 Comments