habari Mpya


Waziri atoa Sikumbili kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama Kasulu kuwasaka wahusika wa Mauaji ya Wakulima na Wafugaji.

Picha ya Mji wa Kasulu Mkoani Kigoma  kama inavyoonekana ukiwa katika mlima Rusunwe katika kata ya Heru Juu.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe.Kangi Lugola ametoa sikumbili kwa Kamati ya Ulinzi na Usalama wilaya ya Kasulu,mkoani Kigoma kuwasaka wahusika wa mauaji ya Wakulima na Wafugaji takribani Nane yaliyotokana na mgogoro wa wakulimana wafugaji.

Mwanahabari wetu Albert Kavano anataarifa zaidi kutoka Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

Post a Comment

0 Comments