habari Mpya


RC Kigoma- Na Ufafanuzi wa Abiria wa Treni Kukwama Kusafiri kwa Siku Tatu.

Abiria wa treni kutoka Mkoani Kigoma kuelekea mikoa ya Tabora hadi Dar es Salaam wamekwama kuendelea na safari katika stesheni ya Kigoma kwa siku tatu sasa bila kujua hatma yao huku wakidai kufukuzwa kulala maeneo ya stesheni hali wanayodai kuwasababishia usumbufu pamoja na hofu ya kuvamiwa na vibaka. 

 Mwanahabari wetu Samuel Lucas amezungumza na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Brigedia Jenerali Mstaafu Emmanuel Maganga ili kujua Hatua zilizo chukuliwa  kutokana na Tukio hilo.
 
BOFYA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA MAHOJIANO HAYO.

Post a Comment

0 Comments