habari Mpya


Mfanyabiashara Kibondo aporwa fedha baada ya kuvamiwa na Majambazi.

Na Samuel Masunzu -RK Kibondo.

Mfanyabishara Bi Anna Rukwakwa Mkazi wa Kibondo mkoani Kigoma amenusurika kifo baada ya kuvamiwa na watu anaosaidikiwa kuwa ni majambazi na kuondoka na kiasi  cha shilingi laki saba na elfu hamsini ,fedha ambazo zilikuwa mali ya kanisa.

BOFYA PLAY HAPA CHINI KUSIKILIZA RIPOTI YA MWANA HABARI WETU SAMUEL MASUNZU .

Post a Comment

0 Comments