habari Mpya


Askofu Niwemugizi:Hubirini injili kumtangaza Kristu.

Pichani ni Mhasham Baba askofu Severine Niwemugizi wa Jimbo katoliki la Rulenge Ngara.(picha na maktaba)
Wakristu nchini  wameaswa  kuihubiri injili katika maeneoyao ili kumtangaza Kristu.
Wito huo umetolewa namuhashamu baba askofu Severine Niwemugizi wajimbo katoliki la Rulenge  Ngara katika ibada ya misa takatifu ya Kutukuka kwa msalaba


Askofu Niwemugizi amesema kuwa kilamkristu katika nafasiyake yakazi namaishayake yakilasiku anapaswa kuwa mwinjilishaji kwakuwa huo ndio msalaba wake.
Ibada  ya kutukuka kwa msalaba imefanyika Septemba 14,2018 katikakanisa la mtakatifu Fransisco waAsizi parokia ya Ngara mjini nakuhudhuriwa na mapadre nawaumini wa jimbo katoliki la RulengeNgara.
Pichani ni baadhi ya waumi wa kanisa katoliki wakiendelea na ibada kanisani.
Pichani wa kwanza kutoka kulia ni Padre Sixmund Nyabenda ambaye ni paroko wa parokia ya Ngara miji katikati ni
Padre Fredrick Meela kutoka shirika la Yesu JESUIT ambaye ni afisa utumishi wa Radio kwizea, mwisho ni
Paroko wa parokia ya ntungamo Padre Pamphilius Kitondo

Pichani ni baadhi ya Mapadre wa Jimbo katoliki la Rulenge Ngara

Pichani ni waandishi wa habari wa Radio kwizera wakitangaza ibada ya misa Takatifu ya kutukuka kwa msalaba moja kwa moja Radioni kutoka kanisa la Mtakatifu Fransisco waasizi jimbo katoliki la Rulenge Ngara na wakwaza kutoka kulia ni Boazi Zobanya wapili ni Amina Semagogwa na watatu ni David Wakarungi.

Post a Comment

0 Comments