habari Mpya


Taswira Picha ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre ya Pd. Ivus Tindyebwa Paroko wa Parokia ya Murusagamba, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara.

Ukumbusho wa Picha wakati wa Sherehe za Jubilei ya miaka 25 ya Upadre ya Pd. Ivus Tindyebwa Paroko wa Parokia ya Murusagamba, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera zilizofanyika siku ya Jumatatu tarehe 9 July 2018 katika Parokia ya Murusangamba.

Picha Na Pd.Damas Missanga SJ.


Pd. Ivus Tindyebwa Paroko wa Parokia ya Murusagamba, Jimbo Katoliki la Rulenge-Ngara mkoani Kagera akitoa neno la shukrani wakati wa Sherehe yake ya Jubilei ya miaka 25 ya Upadre zilizofanyika siku ya Jumatatu tarehe 9 July 2018 katika Parokia ya Murusangamba.
 

Post a Comment

0 Comments