habari Mpya

RC Kagera azindua Uwanja wa Kisasa Shule ya Msingi Mgeza Viziwi Bukoba.

Picha mbalimbali  wakati wa uzinduzi wa uwanja wa kisasa wa michezo katika Shule ya Msingi Mgeza Viziwi iliyoko Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera Jana July 5, 2018 ambapo Uwanja huo utatumika kwa michezo Minne ya  mpira wa pete, mikono, kikapu na wavu kutokana na kuwepo kwa vifaa vya kuhamishika. 

Uwanja huu umejengwa na walimu wawili wa muda raia wa ujerumani waliokuwepo shuleni hapo kwa kipindi cha mwaka , Wameamua kujenga uwanja huo kama kumbukumbu yao kwa taasisi ya Mugeza Viziwi. 

Uzinduzi wa uwanja huo umefanywa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo.

Picha Na Anord Kailembo-RK Bukoba.

Uwanja huo utatumika kwa michezo Minne ya  mpira wa pete, mikono, kikapu na wavu kutokana na kuwepo kwa vifaa vya kuhamishika. 

Uwanja huu umejengwa na walimu wawili wa muda raia wa ujerumani waliokuwepo shuleni hapo kwa kipindi cha mwaka , Wameamua kujenga uwanja huo kama kumbukumbu yao kwa taasisi ya Mugeza Viziwi. 
 
Picha mbalimbali  wakati wa Uzinduzi wa uwanja huo ambao Umefanywa na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Kagera ambaye ni Mkuu wa wilaya ya Bukoba Deodatus Kinawilo.

Post a Comment

0 Comments