habari Mpya


Zao la Kahawa wilayani Ngara mkoani Kagera.

Wilaya ya Ngara mkoani Kagera ina hali ya hewa nzuri inayoruhusu mazao ya aina mbalimbali kustawi yakiwemo yale yanayohitaji mvua nyingi, za wastani na kidogo.

Udongo pia una rutuba ya kutosha kwa ajili ya mazao ya aina mbalimbali. 

 

Post a Comment

0 Comments