habari Mpya


Watumishi fc ya Kahama yaitungua goli 1-0 timu ya Acacia fc

Kahama na Simon Dionizi
Timu ya mpira wa miguu ya kamati ya ulinzi na uslama wilayani Kahama mkoani Shinyanga imeitandika timu ya watumishi wa Migodi wa Acacia 1-0

Mechi hiyo kati ya watumishi wa serikali kuu wakiwa mchanganyiko na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya kahama  dhidi ya watumishi wa migodi ya Acacia wachuana vikali lengo ikiwa ni kuhamasisha ushirikiana katika mambo mbalimbali.

Post a Comment

0 Comments