habari Mpya


Taswira ya Lori aina ya Semi lagonga Nyumba na Kuleta Uharibifu –Kakonko,Kigoma.

Lori aina ya Semi Iliacha njia nakuigonga nyumba ya Elia Muhoza ambaye ni Diwani wa Kata ya Kasanda wilayani Kakonko, kijiji cha Nkuba na kufanya uharibifu mkubwa wa nyumba  pamoja na vitu vingine.

*Vitu vilivyoharibiwa ni;*Vyumba vya maduka,mahindi gunia 29, Samani za Ndani ,Pikipiki mbili *
 
 
 

Post a Comment

0 Comments