habari Mpya


Taswira Wananchi wa Manispaa ya Kigoma Washiriki Kampeni ya Radio Kwizera ya Kujitolea Damu kwa hiari.

Wananchi wa Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma  wakijitolea damu kwa hiari katika Viwanja vya Mwanga Center Mjini Kigoma ikiwa ni katika mwendelezo wa kampeni ya RADIO KWIZERA kupitia kipindi cha asubuhi njema ya kuhamasisha Wananchi kuchangia damu kwa hiari  yenye kauli mbiu, DAMU YAKO MAISHA YANGU, DAMU YANGU MAISHA YAKO.
 

Post a Comment

0 Comments