habari Mpya


MJI WA KAHAMA WAKOSA HUDUMA YA UMEME KWA MASAA MANNE BAADA YA GARI KUANGUSHA NGUZO ZA UMEME

Pichani ni Jengo lililopo karibu na Nguzo za umeme lililotoa cheche na kuzua Taharuki kwa kazi wa eneo hilo ambapo walianza kukimbia ovyo baada ya gari kukwangua nyaya za umeme.
KAHAMA NA SIMONI DIONIZI
Taharuki ya tokea na wananchi kukimbia ovyo baada ya Gari kubwa la mizigo lililo kuwa limebeba Gari la kukwangua barabara {CATERPILA} kugusa nyaya za umeme zilizo unganishwa katika transforma na kusababisha guzo hizo kudodondoka.

Habari picha ni Guzo za umeme wakati zikianguka.
Baada kuanguka kwa nguzo hizo kumetokea cheche za umeme katika jingo la ghorofa lililopo karibu na Transforma hiyo na hivyo kusasabisha wananchi kuanza kukimbia ovyo.
 

Kufuatia hilirafu hiyo mji wa Kahama umejikuta hapa jana baada ya tukio hilo unakosa umeme kwa saa nne fululizo nahivyo kukwamishughuri zinazo tumia umeme kwa wakati huo.Post a Comment

0 Comments