habari Mpya


DC Bukoba akagua mashamba ya Migomba na kuzindua mradi wa Banana Agronomy wilayani humo.

Pichani wa kwanza kutoka kulia ni mkuu wa wilaya ya Bukoba Bw.Deodatus Kinawilo akiwa na kamati ya ulinza na usalama wilaya. 
Bukoba na Anord Kailembo
Mkuu wa wilaya ya Bukoba mkoani Kagera Deodatus Kinawilo amekagua mashamba ya zao la Migomba katika kijiji cha kijiji Izimbya kata ya Izimbya wilayani humo.

Bw.Kinawilo amefanya ukaguzi huo akiongozana na wajumbe wa kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya ya Bukoba katika shamba la migomba la wakikagua moja ya shamba la Migomba muda mfupi kabla ya uzinduzi wa Mradi wa Banana Agronomy Project.

Mradi huo unalenga kuhamasisha wakulima kuwa na matumizi bora ya kikimo kwa kuzingatia kanini bora za kilimo utakao tekelezwa kwenye kila halmashauri 3 za wilaya ambazo ni  Missenyi,Kyerwa na Karagwe.

Post a Comment

0 Comments